Mapishi | Al-Iman Official
Al-Iman Society of Northamptonshire

Society of Northamptonshire, Based in Northampton Mosque and Islamic Centre, 72 Clare St, NN1 3JA

Email: info@al-iman.co.uk

Phone: 07961 284919

Registered Charity: 1117020

© 2018 by Al-Iman - All materials are Copyrights to Al-iman  |  Terms of Use  |   Privacy Policy

Mapishi

Aug 5, 2018

Vinavyohitajika Mchele vikombe  3 Kuku mgumu  1 Thomu/tangawizi ya  kusaga  vijiko  3 Mdalasini  wa  unga  vijiko  2  vya  chakula Kotmiri kishada  kimoja Mbatata 4 kubwa Zabibu kavu Vitunguu  maji  1
Aug 4, 2018

Vinavyohitajika Siagi 250g Sukari 250g Arki rose kijiko 1 cha  chai Zabibu 100g Unga wa ngano 100g Mayai 6 Baking powder kijiko 1 ½ cha chakula Namna ya kutayarisha na kupika Changanya siagi na sukari
Aug 4, 2018

Vinavyohitajika Makaroni ½ kilo Kuku au nyama ¼ kilo Tangawizi na thomu(iliyosagwa-paste) kijiko1 cha chakula Pilipili manga iliyosagwa ½ kijiko cha chakula Ndimu 1 Chumvi Unga wa  mahindi (fine corn
Aug 4, 2018

Vinavyohitajika Mchele magi 2 Nazi ya cream ½ au ya kibati 1 Hamira kijiko 1 ½ cha kulia chakula Hiliki iliyosagwa ¼ kijiko cha chai Ute wa yai 1 Maji ya vuguvugu magi 1 ikiwa utatumia nazi ya maji ya
Aug 4, 2018

Vinavyohitajika Vipapatiro vya kuku (wings) robo kilo. Chumvi. Pilipili manga kijiko1 cha chai. Bizari nzima iliyosagwa kijiko1 cha chai. Paprika vijiko 2 vya chakula. Tangawizi na thomu iliyosagwa ki
Aug 4, 2018

Vinavyohitajika Cheese (Jibini) 250g Delicate dill (ni aina ya majani ambayo huleta harufu nzuri kwenye chakula kama ilivyo nanaa na kotmiri. angalia kwenye picha) Mayai 5 Unga wa ngano magi 4 Chumvi
Aug 4, 2018

Vinavyohitajika Unga wa  ngano  kilo 1 Hamira vijiko  2   vya  kulia  chakula Chumvi Ufuta Siagi ¼  kilo Samli aina  yoyote  vijiko  2  vya  kulia  chakula Mayai 5 Maziwa magi 1 Namna  ya  kutayaris
Aug 4, 2018

Vinavyohitajika Kebichi (Cabbage) 1 Kitunguu maji 1 Mbatata 2 za kiasi Tungule 2(nyanya) Bilingani 1 Pilipili mboga 1 Carrot 2 Chumvi Mafuta ya kupikia vijiko 2 vya kulia chakula Bizari ya manjano Bam
Aug 4, 2018

Vinavyohitajika Tungule  2 Tango 1 Vitunguu maji vyekundu 3 Kotmiri ½ kicha (bunch) Parsley ½ kicha (bunch) Chumvi kiasi Carrot 3 Pili pili mboga ya njano na nyekundu 1 Celery vijiti 4 Ndimu kiasi Nam
Aug 4, 2018

� � Vinavyohitajika Mchele 1 kg Vitunguu maji 1kg Mbatata 4 kubwa Thomu na tangawizi iliyosagwa vijiko viwili vya kulia chakula Kuku mmoja au nyama kilo moja Zabibu kavu ¼ kg Bizari nzima unga vijiko