Masomo | Al-Iman Official
Al-Iman Society of Northamptonshire

Society of Northamptonshire, Based in Northampton Mosque and Islamic Centre, 72 Clare St, NN1 3JA

Email: info@al-iman.co.uk

Phone: 07961 284919

Registered Charity: 1117020

© 2018 by Al-Iman - All materials are Copyrights to Al-iman  |  Terms of Use  |   Privacy Policy

Masomo

Aug 4, 2018

KUNUIA HAJJ NA UMRA Labbayka Allahumma Umra Nimekuitikia Ewe Mola, (nimenuilia) Umra Labbayka Allahumma Hajj Nimekuitikia Ewe Mola, (nimenuilia) Hajj TALBIYAH Labbayka-Llaahumma labbayk labbayka
Aug 4, 2018

Ummu Nasra  UTANGULIZIHakika shukrani zote ni zake Allaah Subhaanahu Wata’ala, tunaemshukuru, tunaemtegemea, kumtaka msamaha na kutubu kwake. Tunajikinga Kwake Allaah Subhaanahu Wata’ala kutokana na
Aug 4, 2018

Imetayarishwa na Shani Ahmad Namshukuru Mwenyezi Mungu, ambae Ametuumba na Akatuweka katika ulimwengu ili tumuabudu Yeye pekee. Na Akatupa miongozo yenye kutuwezesha kuishi katika huu ulimwengu A
Aug 4, 2018

Imekusanywa na Shani Ahmad Bismillahir Rahmaanir Rahiym AlhamdulilLlaah, was swalaatu wa salaam ‘alaa Muhammadin (Salla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam). Anapokuwa Katika Hali Ya Kutoka Roho · Wa
Aug 4, 2018

Ummu Nasra  Kuna mambo mengi ya wazi kabisa ambayo sheria yameyakataza katika Uislamu na jamii imeghafilika nayo.  Mambo hayo huchangia  kuharibika na kuhatarisha mfumo  mzima wa kiislam ndani ya maju
Aug 4, 2018

Misingi ya sheria ni chimbuko la elimu yaani dalili na ushahidi wa jambo unapochukuliwa. Sheria yetu ya kiislamu imejiegemeza katika misingi mikuu mine. Miwili ikiwa ni mikuu na miwili ikiwa ni tege
Aug 4, 2018

Imekusanywa Na: Abu Faatwimah Makatazo yaliyothibiti maalumu kwa waumini wa kike ni kama yafuatayo: Katazo La Kuunganisha Nywele Tendo hili kwa huzuni kubwa limekuwa ni katika yenye kuonekana k