
Muundo
AMEER - Kuusimamia mfuko na kuuendesha kiutaratibu
NAIBU AMEER - Kumsaidia Ameer katika kuuendesha mfuko
KATIBU - Kuweka kumbukumbu zote za mfuko
NAIBU KATIBU - Kumsaidia katibu katika kuweka kumbukumbu
WAWAKILISHI WA MAJIMBO - Kuuwakilisha mfuko katika majimbo yaliyopitishwa
WAKUSANYAJI WA MICHANGO - Kukusanya michango ya waliojiunga kwenye mfuko
KAMATI YA MAADILI NA NIDHAMU - Kusikiliza malalamiko, rufaa na kuhakikisha nidhamu ya mfuko inafuatwa ipasavyo
TIMU ZA MAZISHI
AKINAMAMA NA AKINABABA - Kusimamia taratibu zote za mazishi tokea kuoshwa, kupambwa,